Kibonyezo cha chaguo

Kibonyezo cha chaguo katika baobonye la Apple.

Kibonyezo cha chaguo au kibonyezo chaguo (kwa Kiingereza: option key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi la Apple kinachotumiwa ili kibadili kibonyezo cha kibadilishi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne